Tuesday, August 19, 2014
Wednesday, May 14, 2014
Sunday, March 16, 2014
Thursday, February 27, 2014
Wednesday, February 26, 2014
Saturday, February 22, 2014
COMFORT MAUJANJA
Na anthony tambala (thonny touch)
Meneja mtendaji wa gest ya COMFORT lodge anapenda kuwatangazia uma wa watanzania kuwa kwa sasa wameboresha huduma.Meneja mtendaji aliyazungumza hayo jana alipokuwa anazungumza na papalazi wa bongostarshow na kusema kuwa wameamua kuboresha huduma kwa sababu ya kutambua umuhumu wa wateja na kutoa ahadi kuwa pamoja na changamoto ndogondogo bado wananafasi kubwa ya kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wateja wao.
Meneja huyo akusita kusema kuwa vipo vitu vingi ambavyo kama uwongozi wa COMFORT wanatakiwa kuvifanya ila akupenda kuviweka wazi kwa sasa,Kwakuwa mambo mazuri huwa ayataki haraka,pia akasema kumekuwa na matatizo ya kukosa au kutokuwa na amani bahadhi ya gest nchi ila kwa upande wake alisema COMFORT wapo makini na ana wahakikishia uma wa watanzania
Kuwa wapo makini,==
Tupo mtaa wa vijana kinondono na hata kama upo nje ya jiji la dar es salaam
Piga simu 0714-084549
Meneja mtendaji wa gest ya COMFORT lodge anapenda kuwatangazia uma wa watanzania kuwa kwa sasa wameboresha huduma.Meneja mtendaji aliyazungumza hayo jana alipokuwa anazungumza na papalazi wa bongostarshow na kusema kuwa wameamua kuboresha huduma kwa sababu ya kutambua umuhumu wa wateja na kutoa ahadi kuwa pamoja na changamoto ndogondogo bado wananafasi kubwa ya kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wateja wao.
Meneja huyo akusita kusema kuwa vipo vitu vingi ambavyo kama uwongozi wa COMFORT wanatakiwa kuvifanya ila akupenda kuviweka wazi kwa sasa,Kwakuwa mambo mazuri huwa ayataki haraka,pia akasema kumekuwa na matatizo ya kukosa au kutokuwa na amani bahadhi ya gest nchi ila kwa upande wake alisema COMFORT wapo makini na ana wahakikishia uma wa watanzania
Kuwa wapo makini,==
Tupo mtaa wa vijana kinondono na hata kama upo nje ya jiji la dar es salaam
Piga simu 0714-084549
PITIA NA UTAZAME UBORA WA CO
KILA CHUMBA KINA CHOO NA,TV ZA KISASA.KWA ULINZI NA USALAMA
ASILIMIA%IOO
PIGA 0714=084549 WAHI NAFASI KWETU UWA ZINAGOMBANIWA
KILA CHUMBA KINA CHOO NA,TV ZA KISASA.KWA ULINZI NA USALAMA
ASILIMIA%IOO
KILA CHUMBA KINA CHOO NA,TV ZA KISASA.KWA ULINZI NA USALAMA
ASILIMIA%IOO
ASILIMIA%IOO
PIGA 0714=084549 WAHI NAFASI KWETU UWA ZINAGOMBANIWA
KILA CHUMBA KINA CHOO NA,TV ZA KISASA.KWA ULINZI NA USALAMA
ASILIMIA%IOO
KILA CHUMBA KINA CHOO NA,TV ZA KISASA.KWA ULINZI NA USALAMA
ASILIMIA%IOO
MUONEKANO WETU KAMA UNAVYO ONA(TONNY TOUCH PICHA)
KILA CHUMBA KINA CHOO NA,TV ZA KISASA.KWA ULINZI NA USALAMA
ASILIMIA%IOO
MUONEKANO WETU KAMA UNAVYO ONA(TONNY TOUCH PICHA)
KWA HUBORA SISI TUNAONGOZA!!JARIBU KUTEMBELEA UJIONEE MWENYEWEEEEEEE!!!!
KILA CHUMBA KINA CHOO NA,TV ZA KISASA.KWA ULINZI NA USALAMA ASILIMIA%IOO
VITANDA VYA KISASA,MAGODORO IMARA JAMANI,TUNANGOJA NINI!!!!TENA
Thursday, February 20, 2014
WATOTO WALIO ZALIWA WAMEUNGANA WAREJEA DAR BAADA YA KUTENGENISHWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhT59BXZAFdpSxkyEAI2Wo49TduHhM447G_WCzFgwKnPlQ0cYyjwRM_ABN-nZLqBbbcuuEMEDh-ijXzTNPWZcPQQoStjaxYXDHr1qFZeSPOCnuvy3nK7fV85b1yyGvl5-UDCfSSLucKM5o/s1600/pacha+pix.jpgWatoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa wameungana wamerejea nchini jana wakitokea India walipokuwa kwa ajili ya kutenganishwa, tayari kwa kusherehekea kumbukumbu yao ya kutimiza mwaka mmoja leo.
Waliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere saa 10:30 kwa ndege ya Shirika la Ndege la Oman, wakiwa na mama yao, Grace Joel (20) ambaye muda wote alionekana mwenye furaha.
Elikana na Eliud walizaliwa Februari 20, mwaka jana wilayani Kyela, Mbeya wakiwa wameungana na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya ambako walipata rufaa ya kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Juni mwaka jana, Serikali iliwapeleka Hospitali ya Chennai, India ambako Desemba 16, mwaka jana walifanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha.
Akizungumza baada ya kutua jana, Grace alisema: “Nina furaha ya ajabu, sijui nimshukuru vipi huyu Mungu wangu, ni mkuu mno. Ninawashukuru sana madaktari wa India, ninawashukuru madaktari wa Muhimbili na sana naishukuru Serikali yangu kwa kunipa msaada huu mkubwa. Siamini kama leo ningekuwa narudi salama na watoto wangu kila mmoja akijitegemea,” alisema Grace.
“Kesho (leo) ni birthday yao, wanatimiza mwaka mmoja, ni furaha ya ajabu niliyo nayo, siwezi kuelezea. Siku nilipoambiwa watoto wangu watafanyiwa upasuaji mkubwa na watapumulia mashine kwa wiki moja, nilichanganyikiwa kwa kweli, sikutamani tena hata hiyo operesheni ifanyike ila sikuwa na jinsi zaidi ya kumwomba Mungu.”
Akizungumza uwanjani hapo, Dk Glory Joseph kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando ambaye aliongozana na watoto hao kurudi nchini alisema: “Watoto wamerejea salama na wanaendelea vizuri ila watakuwa Moi (Hospitali ya Mifupa Muhimbili), kwa uangalizi maalumu mpaka hapo madaktari watakapoona inafaa ndipo watapewa ruhusu ya kurudi nyumbani kwao Mbeya.
“Agosti watarudishwa tena India kwa ajili ya upasuaji katika njia ya mkojo na kufunga sehemu ya utumbo,” alisema.
Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Nsachris Mwamwaja alisema upasuaji wa watoto hao ulichukua saa 18. Katika muda huo, saa 13 zilitumika kutenganisha viungo vilivyoungana sehemu ya chini ya uti wa mgongo, sehemu ya utumbo mpana, njia ya mkojo, kibofu na sehemu ya uume, wakati saa tano zilitumika kuunganisha sehemu zilizotenganishwa.
Pacha hao walifanyiwa upasuaji na madaktari 20 na wataalamu wengine wa afya ambao walitumia saa 18 kuwatenganisha. Kiasi cha Sh100 milioni kilitumika.
Meneja wa Huduma za Wagonjwa wa Kimataifa wa hospitali hiyo, Senu Sam alizungumza na gazeti dada la Mwananchi, The Citizen juzi na kusema wamefanya sherehe kwa ajili ya mafanikio ya upasuaji huo.
Sam alisema pacha hao wameonana ana kwa ana kwa mara ya kwanza, wiki tatu baada ya upasuaji... “Imekuwa faraja kuwaona wakitazamana. Eliudi alivishika vidole vya mkono wa Elikana na kuvichezea. Wanaonekana kufurahia mazingira mapya,” alisema Sam.
MAKUBWA! MAMA WEMA AKESHA AKIOMBA DIAMOND AFUMANIWE
anthony tambala(tonny touch)
MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema anamwomba Mungu bintiye huyo amfumanie mpenzi wake asiyemkubali, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Amani lina picha kamili.
Akizungumza na mapaparazi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, mama Wema alisema:
“Najua kwa sasa sina tena mamlaka ya kuingilia mapenzi ya binti yangu kwani mambo hayo yamenichosha, yananiumiza na kichwa.
“Lakini naomba sana kwa Mungu itokee siku moja Wema amfumanie Diamond akiwa na mwanamke mwingine labda ndiyo itakuwa kikomo chao cha kuwa wapenzi kwani ndiyo ndoto ninayoiota kila siku.”
KWA NINI ANAOMBA DUA BAYA?
Mama Wema alikwenda mbele zaidi kwa kusema kwamba, amegundua binti yake huyo hana ubavu wa kuachana na Diamond hata kama atasikia ana mwanamke mwingine.
MAGAZETI PIA YAMESHINDWA
Mwanamke huyo anayemwogopa Mungu tu, alikwenda mbele zaidi kwa kusema kwamba, kuna wakati baadhi ya magazeti pendwa nchini yaliandika Diamond kuwa na demu mwingine lakini Wema hakukasirika wala kuachana na staa huyo wa muziki wa kizazi kipya.
MSIKIE MWENYEWE
“Kwa hiyo mchezo mzuri ni yeye (Wema) kumfumania huyo Diamond wake, maana magazeti tu kuandika kwamba ana uhusiano na mwanamke mwingine mwanangu alivyofanywa mjinga wa kutupwa, hatamwacha.
“Mimi najua Wema anashindwa kukaa chonjo kwa sababu ndumba zimemtawala, amefunikwa labda baadaye atafunguka,” alisema mama Wema.
AIGUSA SAFARI YA DIAMOND NCHINI NIGERIA
Mama Wema akaanika jambo ambalo halijawahi kujulikana kabla.
Alisema: “Huyo Diamond ndo maana alikwenda Nigeria akashindwa kupiga muziki kwa sababu hakwenda na Wema, sasa ameona ampumbaze ili aweze kwenda naye nchi za nje kwa masilahi yake binafsi, ataishia kumuahidi tu hana uwezo wa kumnunulia Wema kitu chochote chenye thamani kubwa, ni mpenda misifa tu.
“Si mnamjua huyo ni mtoto wa Tandale? Anajiita yeye m...(alitaja jina la kinyesi) na kweli yuko hivyo.
NDUGU WA DIAMOND WAMEJAZANA KWA WEMA
“Ndugu zake walivyo washamba wamejazana hovyo pale kwa Wema. Wajinga mno, maana mshamba siku zote ni mshamba,” alisema mama huyo.
HATAKI KUSIKIA WEMA ANA MIMBA YA DIAMOND
Katika hali iliyoonesha kwamba kweli hampendi Diamond, Bi. Mariam alisema hataki kusikia binti ana ujauzito wa msanii huyo.
Alisema: “Mbegu (uzao) gani atakayoileta kwangu, huyo mjukuu si atakuwa balaa, siwezi kuharibiwa wajukuu. Mtoto asiyeeleweka siwezi kumshika.”
ACHIMBA MKWARA
“Halafu nataka kuwaambia enyi watu wa magazeti, haya mambo ya kumwongelea huyo domo acheni mara moja, dunia itamnyoosha,” alisema.
AJIRUDI KWA MWANAYE
Mama Wema alisema hawezi kumlaumu sana binti yake kwa vile akili si yake, yeye (Wema) ni mwanake na atabaki kuwa mwanamke, ila siku zote lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
DIAMOND SASA
Juzi, Amani lilimtafuta Diamond kwa njia ya simu na kumjulisha kuhusu ndoto za mama mkwe wake huyo ambapo aliishia kucheka.
“Teh! Teh! Teh! Thubutu.”
HAIJAWAHI KUTOKEA
Kumbukumbu za makabrasha ya Amani zinaonesha kwamba, katika historia ya wapenzi wa Wema, mzazi huyo hakuwahi kutokea kumkubali Diamond hata siku moja tu.
Amekuwa akimshukia mara kwa mara, madai yake siku zote ni kwamba, katika maono yake hajawahi kuona mapenzi ya kweli ya Diamond kwenda kwa Wema.
Japokuwa pia hajawahi kusema kama kuna mapenzi ya kweli ya Wema kwa Diamond.
Wema amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na marehemu Steven Kanumba, Jumbe Yusuf, Chalz Baba na Clement ‘kigogo wa ikulu’. Pia amewahi kudaiwa kutembea na TID na Mr Bluu
Wednesday, February 19, 2014
HARD PRICE COMING SOON
HARD PRICE COMING SOON
Samahanini sana wadau wangu... Naombeni sana mnisamehe kwa kupotea kwa kipindi kirefu, na yote haya yanatokana na majukumu ya hapa na pale. Ila nisingependa kuja kwenu na mikono mitupu.. Naomba ujipatie mzigo wako wa nguvu wa Hard Price ambao sasa upo madukani..Ndani ya Filamu hii nimejalibu kuchanganya radha tofauti nawaombeni sana wadau wangu tusaau yaliyopita jamani
The greatest nikiwa na Jack Wolper on set..
Salim Ahmed(Gabo) akiwa anapitia script ili kuakikisha mambo yanakwenda sawa....
Kazi zikiendelea...
Nikiakikisha mambo yanakwenda sawa...
On set...
Tukilekebishana machache na dada yangu Jack ambaye amecheza kama mke wangu(Pricila)....
Mzee wangu Kassim Mkoka na Jack Wolper wakiwa mzigoni...
Richard Mshanga(Masinde) bila kukosa yupo ndani ya mzigo huu.....
Razak ford na J uma chikoka...
Friday, October 4, 2013
RJ PRODUCTION IKIWA NDANI YA JIJI LA ARUSHA
Huu ndio mwanzo wa safari ya Rj Production kuelekea Jiji Arusha kwa ajili ya kwenda kufanya shooting ya Filamu yao mpya ya V.I.P . Kwenye filamu hii kuna wasanii tofauti na wale ambao wameshazoeleka kila siku ni hao hao tu. Rj imeamua kuja na ujio mpya na tofauti kabisa...
Said Mangushi (Cameraman)
Sam Shoo(wa kwanza kushoto) lightman wa Rj Company akiwa na Transport manager Salum mpingo..
Mandela J. Ongati(Editor wa Rj Company)
Safari ikiendelea..
Production manager Severyn Mbawa akiwa na mmoja ya wasanii waliocheza kwenye filamu hii Hamisa Mabeto(Alice)..
Water na Shasha
Tuesday, July 23, 2013
BAD LUCK COMING SOON
Ile Sinema iliomshirikisha miss Tanzania mwaka jana Salha Israel, Muda si mrefu itaingia mtaani kwa kishindo inayokwenda kwa jina la BAD LUCK Wadau mzigo huu si wa kuukosa kama kawaida ya RJ Company uwa hawabahatishi kwenye kazi.
Staff wa RJ COMPANY wakiwa kwenye pozi kabla kazi kuanza..
Maandalizi yakianza kwa ajili ya kuupika mzigo wa BAD LUCK ambayo kwa sasa ushakamilika kwa kuingia sokoni.
Baba Haji na Johari on set hatari sana mzigo huu wadau..
Lisa pia alikuwepo maarufu kwa jina la Batuli naye yuko ndani ya mzigo wa BAD LUCK.
Director Adam Kuambiana.
Nami pia nilipita kuwaangalia vijana wangu wakifanya kazi kipindi hicho.....
Batuli bila kukosa ndani ya nyumba ni hatari sana..
Miss akifanya mambo yake kwenye Bad Luck.
Batuli na Johari wakiwa On Set..
Kazi ni ngumu sana Location. Wakati mwingine kunakuwa na kazi ngumu sana maana sio kazi ndogo kabisa tutieni moyo msituvunje moyo mapambano bado yanaendelea..
Uwoya alipita location kuangalia jinsi RJ COMPANY wanavyofanya kazi.
Vijana kazini....
Esha Buheti on Set...
Tuesday, May 28, 2013
HAPPY BIRTHDAY VINCENT KIGOSI
Ilikuwa ni sherehe ya kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa katika maeneo fulani katikati ya jiji.Ni siku ambayo nilisheherekea na ndugu zangu wa karibu na wasanii wenzangu.Ni siku ambayo nimekumbuka mambo mengi sana katika maisha yangu,mara nyingi swahiba wangu marehemu kanumba huwa nakuwaga naye katika sherehe kama hii,lakin ndio mambo ya mungu huwezi kulaumu,kilichobaki ni kumuombea mwenyezi mungu ampumzishe kwa amani Amen.
Odama na Maya.
Nachelewaa....Samahanini!
The Greatest nikiwa Odama kwenye pozi..
Shamsa Ford na Mayasa.
Odama na Recheal Saguda.
Nyerere na Hashimu pia walikuwepo siku hiyo.
Mambo yakiendelea kupamba moto..
Kijana wangu Salum Mpingo(Transport Manager wa RJ).
Mamo kama haya utokeaga mara moja kwa mwaka ndio huwa watu wanafanya Sherehe
JB akiwasili.
Inno Bachard mdau wa RJ akiwa ndio anawasili.
Happy Birthday.
Nikiteta jambo na Jb...
Muda wa kupakana keki ulifika.
Hatari sana Wadau..
JB akifungua shampeni
The Greatest na Mdau namba moja wa kampuni ya RJ Inno Burchad.
Mandela na Chopa
Gambe time, wadau hivyo ndio mambo yalivyokuwa
Subscribe to:
Posts (Atom)