Tuesday, February 11, 2014

NAY WAMITEGO ATOA KAULI ASEMA HAMUOGOPI MTU"




Msanii nay wamitego asema hamuogopi mtu kabisaa ni baada ya kupata ujumbe kutoka kwa mganga kwa jina tumelifadhi kuwa kuna wasanii wenzake walitoka dar mpak simbawanga kwenda kumroga kwa dhumuni lakushuka kisanaa rapper huyo asema kamwe hawezi kushuka anajiamini sababu kila jambo lake lina simamiwa na mwenyezi mungu rapper huyu amesema wasanii tunatakiwa kufanya mziki sio kufanya mambo ya kishirikna msanii huyu nay wamitego alikasirika sana baada ya kupata ujumbe ambao hakutegemea kupata katika maisha yake rapper huyu aliongeza na kusema hana beef na mtu kama mtu anaona nimemkosea aniambie iliaweze kujirekebisha nihayo tu aliyekuwa nayo moyoni 966

No comments:

Post a Comment