Mwigizaji maarufu Charles Warren ambaye ni
shoga anayeigiza sinema katika tasnia ya sinema ya Nollywood nchini
Nigeria amefariki ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika
Hospitali moja jijini Lagos nchini Nigeria.
Charles Warren alifariki ghafla wakati
akiifanya mapenzi (akimegwa) na mwenzake aliyetajwa kwa jina la Ajah
ambapo ghafla alianza kulalamika maumivu ya kiuno na baadaye maumivu
hayo yakahamia mgongoni ambapo baadaye alipata haja kubwa mara nne ndani
ya muda wa dakika 30.
Baadaye maumivu hayo yalihamia kifuani
ambapo ilibidi awahishwe katika hospitali ya Safeway kwa matibabu zaidi.
Rafiki yake aitwaye Ajah ambaye ndiye waliyekuwa wakifanya naye mapenzi
alijaribu bila mafanikio kumfanyia masaji kifuani ili kumpunguzia
maumivu lakini haikusaidia, Warren alifariki dunia usiku huo huo.RIP
Charles Warren.
No comments:
Post a Comment