Mama wa mtoto wa kike mmoja na muigizaji kutoka kenya ambaye vile vile
ni Promota ambaye alikumbwa na skendo kuwa ndiye chanzo cha ndoa ya
msanii kutoka Tanzania Bob Junior na mkewe kuvunjika. Mwanadada huyu
anayejulikana kwa jina la Ashlay Toto alikumbwa na skendo hiyo
walipokuwa nchini Denmack na Bob Junior kikazi. baada ya skendo hiyo
kumfikia mwanadada huyu alifunguka na kukanusha taarifa hizo vile vile
Bob Junior naye pia alifunguka na kukanusha taarifa hizo.
Siku kadhaa zilizopita Bob Junior alifunga tena ndoa na aliyekuwa mke
wake ambaye waliachana kwa kwa miezi kadhaa. Hapa mwanadada huyu kaamua
kufunguka na kueleza hisia zake kuhusu ndoa hiyo
No comments:
Post a Comment