FAHAMU NJIA KUU ZA KUMFANYA JINI AWE RAFIKI /MPENZI/ MSAIDIZI WAKO:
Nadhani mmewahi kusikia juu ya hawa viumbe wanaoitwa MAJINI. Mmesikia
stori mbalimbali kuwahusu lakini leo sio stori tena na vitendo. Hawa ni viumbe wanaoishi ktk ulimwengu wao wa majini. Kuna geti/lango kubwa sana linalotenganisha dunia yetu na wanayoishi wao. Leo nitawafafanulieni namna ya KUTENGENEZA JINI na umtumie kama rafiki, mpenzi au msaidizi wako pasipo kukudhuru. MAHITAJI/VIFAA. -Udi 4 (4 incense sticks). -Pete, cheni. (ring or chain). -Mishumaa 3. mweupe, mweusi na mwekundu. -Muda ni saa 6-10 usiku mwezi ukiwa mpevu. -Chumba tupu na kisafi. -kioo. -lipstick nyeusi/nyekundu. HATUA ZA KUFUATA. 1. Ingia ktk chumba ulichoandaa ktk muda ulitajwa hapo juu ukiwa na vifaa vyote. Choma udi yote kisha toka nje hadi imalizike kuungua kisha rudi tena chumbani. 2. Kaa sakafuni kisha pangaa mishumaa yako mbele yako kwa kufuatana ukianza kushoto kwenda kulia. Anza na mshumaa mweupe, mwekundu kisha mweusi(nafasi kati ya mshumaa hadi mshumaa ni inchi 6(6 inches). 3. Sema maneno haya mara 6 "ALLAH SHAFIM BARAT SHIU KAMIR". Maneno hayo hutumika kufungta geti la kule ulimwengu wa majini. Hapo unakuwa umefungua geti tayari. 4. Washa mishumaa yako ukianza na mweupe, mweusi kisha mwekundu. (kila rangi ina maana yake, nyeupe inasimama badala ya amani, nyeusi ni ulimwengu wa kijini na nyekundu ni made material yao kwani wameumbwa kwa moto). 5. Chagua aina ya jini umtakaye na jinsia yake. Chukua kioo chako sasa kisha andika maneno haya katikati ya kioo kwa kutumia lipstick yako, "ALI ALLAH HAMAL JINNI". Kisha kisha andika jinsia yake MUSCHNA(Kwa jini wa kiume) au VAMIR(kwa jini wa kike). Kisha andika AL AMANI(yaani awe wa amani). Mwisho aina ya jini kama vile. *MAJIRR AL AMAR(huyu ana nguvu sana), * AL AMAR(huyu ni wa pili kwa nguvu). *SUL AL AMAR(ana nguvu za wastani) au CLOSUN ONTEI(ana nguvu dhaifu). 6. Ukimaliza kuandika tu maneno hayo ktk kioo JINNI atakuwa ktk chumba chako na utaona kama kuna mtu vile lakini hutomwona. Utahisi harufu ya manukato, kupumua na sense kama kutembea nk. 7. Mwamrishe aingie ktk pete au mkufu ulioandaa kwa kusema maneno haya "EWE JINI NAKUAMURU UINGIE KTK PETE/MKUFU HUU". Kisha nyofoa nywele yako moja ya kichwami na uichome kidogo kidogo ktk mishumaa yako inayoendelea kuwaka kwa dk. 1-2. 8. Mfungie ktk pete kwa kusema mara 3 maneno haya "EN TIEN ALLAH CLMAN". 9. Zima mishumaa yako kwa kuanzia mwekundu, mweusi kisha mweupe. Futa maneno uliyoandika ktk kioog. Hapo pete yako au mkufu wako utakuwa na JINNI na namna ya kumtumia nitawajuza baadaye ngoja nipate kwanza lunch. ITAENDELEA............ |
No comments:
Post a Comment