Diva akipenda, ulimwengu wote utajua.
Hajui kuficha siri na haoni shida kuweka wazi hisia zake wote wajue. Na
kwakuwa Valentine’s Day ndio hii, mtangazaji huyo wa redio ambaye kwa
sasa ana uhusiano na rapper wa East Coast Team, King Crazy GK,
amewaonesha followers wake wa Instagram kuwa kwa sasa si Diva the Bawse
tu, bali ni ‘Diva the Queen’.
Diva amepost picha inayomuonesha akipigwa busu shavuni na Mfalme wake na kuandika: Me and My GK….. closer .. kisses from US.”
Diva amepost picha inayomuonesha akipigwa busu shavuni na Mfalme wake na kuandika: Me and My GK….. closer .. kisses from US.”
No comments:
Post a Comment