![]() |
alifunga hat trick wakati Yanga inaichapa mabao 7-0 Komorozine katika mchezo wa kwanza Dar es Salaam, ameiambia BIN ZUBEIRY kwamba mabao yake yote hayo amzawadia mwanamuziki rafiki yake kipenzi, Diamond pichani kulia, kwa sababu alimtabiri atafunga idadi hiyo ya mabao kabla ya mechi hiyo. Ngassa na Diamond ni marafiki walioshibana na wamewahi kufanya tangazo la biashara pamoja
No comments:
Post a Comment