Tuesday, February 11, 2014


NGUO YA NDANI NIMNUNULIE MIMI DEMU WANGU HALAFU WEWE UKAMVUE, HII IMEKAAJE?

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQMVLObZiBIyBVz3IfiIf-2ASsPRt_Vh2v_EPmLQijt-CadY1-2gQ

Imagine unamnunulia demu wako zile nguo za ndani kuonesha upendo,mbaya zaidi demu wako anaenda kutoa penzi kwa mwanaume mwingine akiwa ametinga hizo hizo
underwear(chpi,tight,underskir t nk) ulizomnunulia,unanunua wewe anaenda kuvuliwa na mwingine.HII INAUMAJE UNAPOGUNDUA?

No comments:

Post a Comment