Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya nchini,Nabboy amewaomba wa tanzania kumpa sapoti ya safari yake ya muziki,kwani anatamani siku moja awe kama wasanii wanao tikisa kwa sasa bongo.Nabboy aliyasema,japokuwa kuna wasanii wanampa changamoto kubwa ya muzik akiwemo,country boy,young killer.Kwa upande wa mwelekeo wa muziki Nabboy alisema"kwa upande wake sio mabaya kwani yupo kwenye atua ya kuachia ngoma yake mpya ambayo anaamini itafanya vizuri na kumpatia mafanikio.
No comments:
Post a Comment