NI CHAGUO LAKE
Akizungumza na Amani katika spesho intavyu hivi karibuni, Wema ambaye kwa sasa anapika na kupakua na Diamond alifunguka kuwa, amepita kwa wanaume wengi ila anaamini mwanaume huyo ndiye chaguo lake.
Alisema katika uchunguzi wake aligundua kwamba Diamond anampenda kupita maelezo na kwa mapenzi anayomuonesha hana sababu ya kugoma kumpa nafasi ya kuwa mkewe.
“Yaani watu watasema sana lakini piga, ua, garagaza, lazima Diamond anioe. Amekuwa akilizungumzia hilo na kuonesha kuwa yuko ‘siriasi’ hivyo ipo siku historia itaandikwa bila kujali nani atasema nini.
“Unajua mimi ni mtu ninayejitambua na ninayejali maisha yangu hivyo ninapobaini mwanaume f’lani anaonesha kunijali na kunipa mapenzi ninayoyahitaji, kwa nini nisikubali kuingia naye kwenye maisha ya ndoa…?
“Kwa kifupi nampenda Diamond na yeye ananipenda, that’s it,” alisema Wema.
MKWARA WA MAMA YAKE
Kuhusu mama yake kuchimba ‘biti’ kuwa hamtaki Diamond na kamwe hawezi kukubali mwanaye aolewe na mwanaume huyo, Wema alisema:
“Unajua yule ni mzazi, wakati mwingine si mbaya kuonesha hisia zake lakini nitamseti na naamini kwa kuwa ananipenda atakubaliana na mawazo yangu.”
NDOA LINI?
Alipobanwa kuhusu lini watafunga ndoa kwani
NI CHAGUO LAKE
Akizungumza na Amani katika
spesho intavyu hivi karibuni, Wema ambaye kwa sasa anapika na kupakua na
Diamond alifunguka kuwa, amepita kwa wanaume wengi ila anaamini
mwanaume huyo ndiye chaguo lake.
Alisema katika uchunguzi wake aligundua kwamba Diamond anampenda
kupita maelezo na kwa mapenzi anayomuonesha hana sababu ya kugoma kumpa
nafasi ya kuwa mkewe.
“Yaani watu watasema sana lakini piga, ua, garagaza, lazima Diamond
anioe. Amekuwa akilizungumzia hilo na kuonesha kuwa yuko ‘siriasi’ hivyo
ipo siku historia itaandikwa bila kujali nani atasema nini.
“Unajua mimi ni mtu ninayejitambua na ninayejali maisha yangu hivyo
ninapobaini mwanaume f’lani anaonesha kunijali na kunipa mapenzi
ninayoyahitaji, kwa nini nisikubali kuingia naye kwenye maisha ya ndoa…?
“Kwa kifupi nampenda Diamond na yeye ananipenda, that’s it,” alisema Wema.
MKWARA WA MAMA YAKE
Kuhusu mama yake kuchimba ‘biti’ kuwa hamtaki Diamond na kamwe hawezi kukubali mwanaye aolewe na mwanaume huyo, Wema alisema:
“Unajua yule ni mzazi, wakati mwingine si mbaya kuonesha hisia zake
lakini nitamseti na naamini kwa kuwa ananipenda atakubaliana na mawazo
yangu.”
NDOA LINI?
Alipobanwa kuhusu lini watafunga ndoa
kwani wamekaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu huku wakiachana na
kurudiana, Wema alionekana kutokuwa na jibu la moja kwa moja ila
akaishia kusema kuwa, siku ikifika kila kitu kitakuwa wazi.
NUKUU YA MAMA WEMA!
Katika sakata hilo, kwa
upande wake mama Wema alikuwa na haya ya kusema: “Ndoa yao watafungia
chumbani, si hadharani, tena wakiwa na ndugu wa upande mmoja tu wa
Diamond.
“Sisi hatuwezi kushiriki ng’oo, ndugu zangu wakijitokeza tu nitakuwa na panga mkononi, watakiona cha moto.”

Wema akiwa na mpenzi wake Diamond.TUJIKUMBUSHE
Mwaka 2011 ndani ya Ukumbi wa New Maisha uliopo Masaki, Dar, Diamond
aliwahi kumvisha pete ya uchumba Wema na ikadaiwa kuwa siku nyingi
wangeingia katika maisha ya ndoa lakini haukupita muda mrefu wakaachana.
Baada ya kumwagana, Diamond alikwenda kwa mtangazaji wa DTV, Peniel
Mungilwa ‘Penny’ na Wema alihamishia penzi kwa yule kigogo aliyefahamika
kwa jina moja la Clement ‘CK’ kabla ya kumwagana hivi karibuni.
TUJIKUMBUSHE

wamekaa kwenye uhusiano kwa muda mrefu huku wakiachana na kurudiana, Wema alionekana kutokuwa na jibu la moja kwa moja ila akaishia kusema kuwa, siku ikifika kila kitu kitakuwa wazi.
NUKUU YA MAMA WEMA!
Katika sakata hilo, kwa upande wake mama Wema alikuwa na haya ya kusema: “Ndoa yao watafungia chumbani, si hadharani, tena wakiwa na ndugu wa upande mmoja tu wa Diamond.
“Sisi hatuwezi kushiriki ng’oo, ndugu zangu wakijitokeza tu nitakuwa na panga mkononi, watakiona cha moto.”
TUJIKUMBUSHE
Mwaka 2011 ndani ya Ukumbi wa New Maisha uliopo Masaki, Dar, Diamond aliwahi kumvisha pete ya uchumba Wema na ikadaiwa kuwa siku nyingi wangeingia katika maisha ya ndoa lakini haukupita muda mrefu wakaachana.
Baada ya kumwagana, Diamond alikwenda kwa mtangazaji wa DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ na Wema alihamishia penzi kwa yule kigogo aliyefahamika kwa jina moja la Clement ‘CK’ kabla ya kumwagana hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment